Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. MINZENGO PINDA SONGEA VIJIJINI

IMG_0007  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Madwani wa Songea Vijijini baada ya kuwasli kwenye kijiji cha Mkenda kuweka jiwe la Msingi la Soko wakiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0040  Wananchi wa Songea Vijijini  wakicheza ngoma ya Lizombe wakti Waziri Mkuu,Mizengo Pinda alipoweka jiwe la Msingi la ujenzi wa soko  na kuhutubia wananchi katika kijiji  cha Mkenda akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0089 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Joyce Mapunjo  wakiweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko katika kijiji cha Mkenda wialyani Songea Vijijini Julai 19, 2013. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0092   
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu,  Mizengo Pinda  akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo kabla ya kuweka jiwe la msingi la soko  katika kijiji cha Mkenda wilayni Songea Vijijini akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma.Katikati ni Mbunge wa Peramiho,Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0171  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na askari wa Msumbiji  wakati alipopita kwenye mpakakati ya nchi hiyo na Tanzania katika kijiji cha Mkenda akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0210 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiteta na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama (kushoto) 
baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Mpitimbi kuzindua msimu wa ununuzi wa mahindi Julai 19, 2013. Walikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0240 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kaipima katika mzani gunia la mahindi kuashiria uzinduzi wa msimu wa ununuzi wa mahindi katika kijiji cha Mpitimbi akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Thabit Mwambungu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0252 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mpitimbi wailayani Songea Vijijini Julai 19, 2013 baada yakuzindua msimu wa ununuzi wa mahindi akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuama . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0297IMG_0304IMG_0308 1 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wazee wa Songea baada ya kuzungumza nao kwenye Ikulu ndogo ya Songea akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...