Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

RAIS ALHAJ DK.ALI MOHAMED SHEIN AFUTARISHA KISIWANI PEMBA WETE

IMG_8094  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wa vikosi vya ulinzi,wakati alipowasili Uwanja wa ndege wa Karume Pemba,Rais amewasili Kisiwani kwa ajili ya kuwafutarisha wananchi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8116  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana na Wanancni  waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa karume Pemba jana,Rais yupo kisiwani humo ajili ya kuwafutarisha Wananchi,ikiwa ni kawaida yake kila ifikapo mwezi Mtukufu wa Ramadhan. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8123   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziAlhaj Dk.Ali Mohamed Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana na Wanancni  waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa karume Pemba jana,Rais yupo kisiwani humo ajili ya kuwafutarisha Wananchi,ikiwa ni kawaida yake kila ifikapo mwezi Mtukufu wa Ramadhan. 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8130  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alijumuika na Waislamu na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Swala ya Magharibi kabla ya kufutari nao pamoja kwa futari aliyowaandalia wananchi hao jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_8132  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Wananchi na waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba waiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi,baada ya Swala ya Magharibi,na kuendelea na Futari aliyowaandalia katika  viwanja vya Ikulu ya Wete.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8136  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto)alipojumuika naViongozi na wananchi wa na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari aliyowaandalia jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba, 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8139  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto)alipojumuika na Viongozi na wananchi wa na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari aliyowaandalia jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8145  
Akina Mama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba walihudhuria katika futari walioyoalikwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama mwanamwema Shein,jana katika ukumbi wa Ikulu ya Wete Pemba, 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_8175IMG_8183 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wananchi baada ya kufutari nao kwa pamoja jana katika futari aliyowaalika katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba. 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...