Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

BREAKING NEWS:BASI LA NAJMUNISA LAPASUKA GURUDUMU KISHA KUPINDUKA NA KUUA HABARI KAMILI IKO HAPA


                     Kamanda David Misime.

Watu wanne waliokuwa wanasafiri kwa basi la kampuni ya Najmunisa wamekufa papo hapo baada ya basi hilo lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupata ajali eneo la Mbande, nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, basi hilo likiwa kwenye mwendo kasi lilipinduka baada ya tairi la mbele kupasuka na kugonga mti, huku wanne hao wakifa papo hapo na wengine wakijeruhiwa vibaya, kiasi cha kukimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime amethibitisha kutokea kwa ajali


SOURCE ziro99 blog
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...