Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

Waziri Chikawe azindua Kitabu kiitwacho “Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania”

Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe akiongea na viongozi mbalimbali pamoja na  waandishi wa habari leo jijijni Dar es salaam alipokuwa akizindua Kitabu kiitwacho Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Luteni Kanali Lidwino Mgumba. 2 
Waziri wa Sheria na Katiba Mh. Mthiasi Chikawe (kulia) akifuatilia ufanafanuzi wa kitabu cha “Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania” kilichoandikwa na Luteni Kanali Lidwino Mgumba. Pembeni mwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi. 3 
Miongoni mwa viongozi wa Serikali walioshirki uzinduzi wa kitabu cha “Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania” kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Luteni Kanali Lidwino Mgumba leo jijini Dar es salaam. 4 
Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe akionesha kitabu alichokizuindua leo jijijni Dar es salaam cha Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Luteni Kanali Lidwino Mgumba.

Picha zote na Eleiuteri Mangi -Maelezo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...