Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

Sikiliza Mahojiano Maalum ya Waziri Mkuu Aliyejiuzulu Edward Lowassa na Sauti ya Amerika(VOA) alivyoongelea juu ya watu wanaodai kahamishia siasa zake kwenye nyumba za ibada Sikiliza...





Khadija Riyami wa VOA akifanya mahojiano na Mh.Edward Lowassa hotelini kwake The Willard Washington Dc. Ambapo pamoja na mambo mengine katika mahojiano hayo alikanusha yale baadhi waliodai kuhamishia siasa zake kwenye nyumba za ibada. Kusikiliza matangazo hayo ya VOA bofya hapa chini.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...