WAMASAI WA MUNDULI MKOANI ARUSHA WATEMBELEA BANDA LA AICC LILILOPO KATIKA VIWANJA VYA MAONESHO YA 37 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM.
Katibu
Mhitasi wa Arusha Intarnational Confrerence Centre. Joyce Mollel
akiwaonyesha baadhi ya akinamama wa kikundi cha Masai cha Munduli Arusha
shughuli zinazotoa, wakati akimama hao walipotembelea katika banda lao
lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es
Salaam.