Kampuni
moja ya ujenzi iliyopo Canada, imeamua kumtest Kim kwa kuweka bango
linalochekesha na kumdhalilisha katika jengo la Bay Adelaide Center
lililopo Toronto, Ontario, ambalo liko katika ujenzi
Katika lakini
katika juhudi za kupunguza wasiwasi kwa umma, wajenzi wa jengo hilo
waliweka bango linalosema kuwaambia wenyeji, 'Ujenzi kumalizika kwa kasi
zaidi kuliko ndoa Kim Kardashian.'
, "Construction set to finish faster than a Kim Kardashian marriage."
inasemekana
bango hilo lilitengenezwa na kundi la wachekeshaji ambao ni
ma-legendari "Second City" ikiwa ni sehemu ya utani utakaokuwa
ukiendelea mpaka pale project hiyo ya ujenzi itakapokamilika.
kama
story imekuacha njia panda ni hivi, Kim Kardashian alifunga ndoa na
Kris Humphrey, ambayo ilidumu kwa siku 72 tu kabla ya kuvunjika.