Hii ilikua ni kwenye Tamasha la Matumaini ambalo lilifanyika July 7 2013 kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam ambako mambo mengi yalifanyika ikiwemo ngumi za baadhi ya watu maarufu wa Tanzania, video nyingine bado naendelea kuzipandisha mtandaoni ila kwa sasa unaweza kuendelea na hizi chache zikiwemoa za Halima Mdee na Wolper ambao walitoka droo.
Monday, July 8, 2013
Video za Mbunge Halima Mdee akipigana na Jackline Wolper, Prezzo na Mzee Yusuf