Yale mashindano yakutafuta madeejayz
mbalimbali watakao pata ajila ya kudumu katika kampun ya entertaiment
masters leo ndio yanaanza rasmi katika club ya kimataifa NEW MAISHA
CLUB. vijana mbalimbali waejitokeza kuwania nafasi hiyo je nani atapata
nafasi hiyo kwamana wanahitajika vijana wasiopungua kumi.
kwa picha zaidi .......
Hizi ndio machine zitakazotumika katika usahiri huu
Muonekana wa eneo la usahiri,mahala wanapokaa majaji na deejayz
Mtoto wa kike pekee aliejitokeza kushiriki mashindano yakutafuta deejay
washiriki wakipanga nyimbo zao kabla ya mashindano
Macameraman wa dtv wakijipanga kuchukua picha za matukio
Washiriki wakiangalia machine zitakazotumika leo katika usahiri
washiriki wameshajipanga tayari kwa kuanza kwa usahiri.
Kwa hisani ya xdeejayz.blog</div>
</div>