Hii tecknolojia inabidi ifike kwenye jiji la Dar es salaam. Mtu ambaye alitambuliwa na polisi kama dereva taxi, amekamatwa na polisi hao baada ya kufanya wizi wa aibu kabisa. Jamaa huyo alienda kwa mtu mmoja ambaye alikuwa amelewa pombe na kukaa barabarani kwa nia ya kumsaidia lakini hapohapo akaingiza mkono mfukoni na kuchomoa kitu kama simu na wallet. Wakati huohuo camera za polisi zilikua zina-rekodi kila kitu na tukio hilo kuonekana. Kabla hajafika mbali askari wakawa wameshafika tayari maeneo husika na kumdaka. Cheki kila kitu video hii jinsi ilivyokuwa huko China.
Saturday, July 27, 2013
Video: Dereva taxi akamatwa na camera za polisi akimuibia mtu simu