Namkariri akisema ‘Ukienda China, Marekani hata kwenye jamii ndogo kabisa wanajua Nelson Mandela ni nani’
Muda mfupi baada ya kuiona hiyo interview CNN nikarudi kwenye twitter nikakutana na tweet ambayo aliiandika Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia January Makamba na akaweka link ya interview ya kwanza ya TV ya Mzee Nelson Mandela mwaka 1961, nikaona na mimi nishee na watu wangu wa .com



