Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, July 8, 2013

Unajua single inayofata ya Ommy Dimpoz inaitwaje? kafanya na nani?

.
.
Kwenye interview fupi na millardayo.com Ommy Dimpoz amesema single yake inayofata itaitwa ‘Tupogo’ ambayo amemshirikisha J Martins wa Nigeria, imefanywa na maproducer wawili ambao ni Marco Chali na Man Water wa Combination Sound.
Audio yake inatarajiwa kutoka hivi karibuni ambapo itatangulia alafu video ikishafanywa ndio itafata kwa kutoka baadae, hii itakua single ya nne ya Ommy Dimpoz kutoka baada ya ‘Nai nai’ aliyofanya na Ally Kiba, ‘baadae’  na ‘Me and you’ aliyofanya na Vanessa Mdee.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...