Uongozi
wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na
wakazi wa jiji kwa jumla kuwa huduma ya treni ya jiji haitokuwepo kwa
muda wa siku 2 kuanzia leo Julai 8, 2013 kutokana na hitilafu kubwa
katika kichwa kimojawapo cha treni hiyo.
Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi unaosimamia uendeshaji wa huduma hiyo jijini.
Kwa utaratibu huduma hii huendeshwa kwa kutumia vichwa vya treni vitatu
ambapo viwili uhudumia moja kwa moja na cha tatu huwa cha akiba .
Kuanzia siku ya Jumamosi ambapo huduma haikuwepo, kichwa .na wavuti