Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, July 16, 2013

RAIS KIKWETE AFUTARI PAMOJA NA WATOTO YATIMA IKULU DAR

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto  yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watot yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.

 Baadhi ya watoto hao wakihudumiwa futari.
 Baadhi ya watoto hao wakihudumiwa futari.
 Baadhi ya watoto  yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.
Baadhi ya watoto  yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. Picha na Freddy Maro
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...