Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenelle Mukangara kulia
akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered
Tanzania Bibi Liz Lloyd alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es
Salaam. Katika mazungumzo yao walijikita katika kuangalia namna ambavyo
benki ya Standard Charterd Tanzania inaweza kushirikiana na Serikali
kuwawezesha Vijana kukabiliana na changamoto za maisha.Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenelle Mukangara kulia
akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania
Bibi Liz Lloyd alipomtembelea afisini kwake leo jijini Dar es Salaam
kuzungumzia kuhusu benki uwezeshaji wa Vijana kupitia Standard Chartered
Bank Tanzania Limited. Picha Zote na Frank Shija -Maelezo