Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya
Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria shughuli ya
utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika
viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika shughuli ya utoaji wa vifaa vya
kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mmoja wa wanafunzi wa shule
ya walemavu wa kusikia ya Buguruni akiwa na mwanzilishi na mkuu wa
Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria
shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia
katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15,
2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza wanafunzi wa shule ya walemavu wa
kusikia ya Buguruni baada ya kupatiwa vifaa na mwanzilishi na mkuu wa

2013.