Paroko wa Parokia ya Isimani mkoani Iringa,Padri Angelo (katikati) akiwa katika ibada maalumu ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi, anarudi kwao Italia. |
Mh: Wiliam Lukuvi (MB) akijumuika na baadhi ya wananchi wa jimbo la Isimani kwenye ibada maalumu ya kumuaga Padri Angelo.