Rais
Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea Maonesho ya 37 ya
Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K
Nyerere jijini Dares Salaam.kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda,
Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda.
Rais
Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa n Mwakilishi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Maendeleo na Makazi(UNHABITANT) Phillemon
Mutashubirwa kuhusu wanavyofanya kazi ya kusaidia watoto wa shule na
wanawake kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete (kulia) akiangalia mafuta ya ubuyu na bidhaa zingine
kwenye banda la Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF) kwenye Maonesho ya
37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu
J. K Nyerere jijini Dares Salaam .Kutoka (kushoto) wa pili ni
Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji
wa Stephen Emmanuel.