BEYOUNCE na Jay Z wameripotiwa kutumia zaidi ya dola 5,000 kwaajili ya kununua zawadi kwa mtoto North West wa Kim Kardashian na Kanye West.
Jay-Z ni rafiki wa karibu wa Kanye hivyo alitaka kuhakikisha anampatia zawadi bora.
Aidha mtoto wa Jay Z na Beyonce, Blue Ivy alikutana na North West ambapo Kim anajiandaa kuhakikisha watoto hao wanakuwa marafiki tangu udogoni akiamini kwamba wakikua watakuwa maarufu zaidi.