Mzee
mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa amelala chini
baada ya kushambuliwa na nyuki katika eneo la stedi ya daladala mkoani
morogoro.Zahama hilo lilitokea leo mchana hali iliyosababisha taharuki
kubwa na kusababisha watu kukimbia huku na kule
Mzee huyu akiwa amejeruhiwa vibaya usoni mara baada ya kung'atwa na nyuki katikati ya mji wa morogoro leo
Wasamaria wema wakipiliza dawa na kumfunika mzee huyo kwa kutumia vyandarua ili kuwadhibiti wadudu hao leo