Kwenye ziara ya kiongozi huyu wa kanisa katoliki duniani nchini Brazil, zaidi ya walinzi elfu 22 wamehusika kumlinda ambapo ishu za mabomu yaliyotegwa kumlenga ziliingia kwenye vichwa vya habari.
Wanajeshi ni elfu 10, air force, and navy officers, 12,000 police na 1,700 elite security forces… ambapo utumiaji wa Mask ulipigwa marufuku kwa yeyote kuziba uso kwa namna hiyo wakati wa ziara ya Pope Francis.
Kwa mujibu wa AFP, Brazil ilitarajia kutumia $52 million kwa ulinzi kwenye ujio wa Pope…
Waziri wa ulinzi wa Brazil alitaka Pope atumie gari lenye ulinzi wa kitaalamu wa kijeshi kwenye ziara yake lakini yeye na Vatican wakakataa