Naibu Waziri wa elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe. Phillipo Mulugo akihutubia hadhara katika viwanja vya shirika la elimu kibaha mkoani pwani wakati wa uzindunzi wa mpango wa elimu jumuishi wenye kauli mbiu “ondoa vikwazo tujenge elimu jumuishi”
Naibu waziri Mhe. Mulugo akicheza wimbo sambamba na mtoto William na Mhadhiri wa chuo kikuu huria bwana Cosmas Mnyanyi
PICHA ZOTE NA GERVAS CHARLES MWATEBELA