Mwanamuziki mashuhuri na mkongwe, Tina Turner anategemea kuolewa tena akiwa na umri wa miaka 73 sasa.
Kwa mujibu wa
taarifa, mwanamuziki huyo na mpenzi wake, Erwin Bach wanajiandaa
kufunga pingu za maisha ndani ya Lake Zurich nchini Switzerland mnamo
21, July (Siku ambayo pia ni kuzaliwa kwa Dan Chibo).
Mahusiano
ya Tina na Bach, 57, yalianza wenye kipindi ambacho jamaa alikuwa ni
kiongozi kwenye lebo ya utayarishaji yamwanabibi huyo, na wapo kwenye
mahusiano toka mwaka 1986 na wamekuwa wakiishi ndani ya Switzerland toka
mwaka 1994.