|
Rais Mtaafu Mhe. Benjamin William Mkapa akisaini kitabu cha wageni ofisi za CCM mkoa wa Mwanza ambapo alifanya ziara ya kuimarisha Chama kiutendaji kwa kazi za ndani. |
|
Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya masuala muhimu ya chama mbele ya Rais Mstaafu pamoja na makada na viongozi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Mwanza. |
|
Wafanyakazi wa CCM mkoa wa Mwanza walijumuika na kikao hiki cha ghafla kilichofanywa na Mhe. Rais mstaafu. |
|
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Mkoa wa Mwanza akitoa malezo ya hatua na maendeleo ya umoja wake mbele ya Mhe. Rais mstaafu Ben Mkapa. |