Najua wengi mlisubiria hiii Picha ...Haya sasa hiyo Hapo
Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda
ulipopita…. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya
maswali ya Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za
mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.
millardayo.com imemmilikisha rasmi Klyn kwenye hii post akiwa sasa
hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na
Baba yao mzazi.
Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn na watoto wake pamoja na kazi anayofanya kwa sasa.