Wakazi
wa Magomeni pamoja na wapita njia wa barabara ya morogoro wakiwa makini
kuangalia mashine ya kuweka zege kwenye maji maeneo ya magomeni wakati
mafundi hao wakiendelea na ujenzi wa nguzo za daraja la Magomeni
Wakiwa bize kutazama jinsi nguzo za madaraja yanayojengwa kwenye maji jinsi nguzo hizo zinavyojengwa
Wakiendelea kutazama
Mtambo
wa kumwaga zege wakati wa ujenzi wa Nguzo za daraja la Magomeni
ukiendelea kufanya kazi huku Wakazi wa Jiji la dar wakiendelea kutazama
mashine hiyo inavyofanya kazi katika barabara ya Morogoro eneo la
Magomeni