Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano
wa Mabunge wa kujadili Sera za Misitu Barani Afrika,
uliofanyika jana jioni Julai 9, 2013 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini
Dar es Salaam.Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Baraza la
Dunia ya baadaye wa Dunia, 'World
Future Council' Alexandra Wandel, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana jioni Julai 9, 2013 kwa ajili ya kufungua
Mkutano wa Mabunge wa kujadili Sera za Misitu Barani Afrika, uliohudhuriwa na
wabunge mbalimbali kutoka Bara la
Afrika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wabunge waliohudhuria
Mkutano Mabunge wa kujadili Sera na changamoto za Misitu Barani
Afrika.
Mkurugenzi wa Baraza la Dunia ya baadaye wa
Dunia, 'World Future Council' Alexandra Wandel,akizungumza wakati wa ufunguzi wa
mkutano huo.
Baadhi ya Wabunge wakiwa katika chumba cha
mkutano huo, kutoka (kushoto) ni Mbunge wa Kahama James Lembeli, Mbunge wa
Mafia, Abdulkarim
Shah, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na Mbunge wa Kigoma Kusini,
David Kafulila, wakiwa katika mkutano huo
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati)
akiwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,
Lazaro Nyalandu, (wa pili kulia) Mkurugenzi wa Baraza la Dunia ya baadaye wa
Dunia, 'World Future Council' Alexandra Wandel (wa pili
kushoto) na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Getrude Mongela (kulia)
wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini hapo
kupitia Screen kwa njia ya TV.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) na Getrude
Mongela, baada ya kufungua rasmi mkutano huo jana Julai 9, 2013 jijini
Dar es Salaam.