KALI YA LEO: MUIGIZAJI JB AMUONYA IDD AZZAN DHIDI YA KIPIGO KITAKATIFU ATAKACHOMPATIA KWENYE TAMASHA LA MATUMAINI
Mwanamaigizo
Jacob Steven aka JB amemuonya Mbunge Iddi Azzan kwamba ategemee kipigo
kitakatifu katika pambano lao la masumbwi litalaochezwa uwanja wa taifa
katika Tamasha la siku ya Matumaini siku ya sikukuu ya sabasaba.