Staa wa muziki ambae Afrika inatambua kwamba anatokea Nigeria ndio anaimiliki hii post kwa wakati huu. Ukali wake uliofanya hata Watanzania wengi kumpenda au
kukubali kazi zake Flavour, ndio umetoea msukumo na kupata hii fursa
hapa. Tazama kioo chake kipya alichokiweka YouTubeJune 30 2013 kinaitwa ‘Ada Ada’