Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Jaji Frederick M. Werema na Rais wa Mahakama ya Rufani
ya Ushelisheli Mh. Jaji Francis MacGregor kwenye picha ya pamoja na
viongozi wa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Jaji Frederick M. Werema akimkabidhi zawadi Rais wa
Mahakama ya Rufani ya Ushelisheli Mh. jaji Francis MacGregor wakati
alipomkaribisha ofisini kwake