Mhadhiri
Msaidia wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Mariam Ally Tambwe
akizungumza na mteja aliyetembelea banda la Wizara ya Viwanda na Bishara
sehemu ya chuo hicho katika viwanja vya Maonesho ya 37 ya Biashara ya
Kimataifa ya Sababasa jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki hii.Picha na
Hussein Makame-MAELEZO