Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, July 12, 2013

HUYU NDIYE RAISI MWENYE KIPATO KIDOGO KULIKO WOTE DUNIANI

Mjue raisi mwenye kipato kidogo zaidi Duniani


Jose Alberto Mujica maarufu kama PEPE
,Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa na habari za kimataifa
basi uwezi kukosa kusikia
jina ili likitajwa popote pale…..
Jose Rais wa Uruguay aliezaliwa tarehe ya 20
mwezi wa tano mwaka 1930.
Rais huyo wa Uruguay ndie Rais mwenye kipato
kidogo kuliko wote duniani…!!
Hii inatokana na asilimia 90 ya mapato yake Mujica kuamua kutoa
msaada kwa wananchi wa nchi yake wasiojiwez
a na yeye kujikimu kifamilia
kwa asilimia 10….
Mujica ambae ni mtoto wa mkulima alitawala Uruguai mnamo mwaka 2009,
lakini kabla ya hapo ni mwanaharakati wa kimapinduzi ndani ya mwaka
wa 1969 yeye na chama chake walipoamua kupigania haki na sheria ya uruguai…
Mwaka 1974 alifungwa baada ya kuanzishwa kwa chama ambacho kwa
muda mchache kilikuwa kinasumbua sana kiasi kwamba kuleta mtafaruku
wa kutawaliwa na wazungu alienda jela na kupewa adhabu ya kupasua
kokote kwa kipindi chote akiwemo jela….
Mwaka 1985 aliachwa Uhuru baada ya hapo aliendeleza falsafa yake
hadi mwaka 2009 alipoamua kugombea urais na kufanikiwa kushinda
kiti hicho na kuiongoza Uruguai…!!
Mujica anatazamiwa kwa mujibu wa Jarida la Forbes ndie Rais mwenye kipato
kidogo zaidi dunia kupitia marais wote waliopo kwenye umoja wa Mataifa…!!
Leo nimekuandalia makala hii,usikose kupitia Blogsite hii kuona makala
nyingi zaidi za kiburudani,siasa na michezo…!!
Rais Hugo Chavez  enzi za Rais Hugo Chavez  enzi za uhai wake na Rais Mujica wakisalimiana…
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...