Kim Poulsen- TZ |
Micho-Sredojevich-UG |
Kim
alisema Uganda ndiyo inayoongoza kwa ubora wa viwango vya FIFA katika
ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, hivyo ni changamoto kwao ingawa
wachezaji wake tayari wamejipanga vizuri kwa ajili ya mechi hiyo.
Naye
Micho aliyefuatana na nahodha wake Hassan Wasswa alisema Taifa Stars
imekuwa ikifanya vizuri tangu iwe chini ya Kim, na itakuwa na wachezaji
tisa wa kikosi cha kwanza kinachocheza mechi za mchujo za Kombe la Dunia
wakati kwa upande wake atakuwa na wachezaji wawili tu