Na sisi hapa JG Blog Team tunapenda kumtakia Mama Naseeb kila la kheri
katika siku yake hii yakuzaliwa na siku zijazo. Mwenyezi Mungu aendelee
kumbariki na kumuongezea siku za maisha yake akimpatia afya njema na
baraka tele.
HAPPY BIRTHDAY BI SANDARA aka MAMA NASEEB
Credit: Jestina-George.com