Mtoto wa rais Kikwete Ridhiwani alikuwa ni mmoja wapo ya watu walio bahatika kukutana ana kwa ana na Rais wa Marekani Barack Obama. |
Pamoja na kushare nas picha hizi Ridhiwani ameandikia kifuatacho:
"Ni heshima kwangu kusalimiana na kubadilishana maneno na Bwana Barack Obama, Raisi wa Marekani.
Nakushukuru kwa moyo ulionipa wa kuendelea kusaidia kusaidia jamii yangu na pia kuimarisha mahusiano na washirika wangu.
Thank you Mr. President, Aksante sana."
Credit: Jestina-George.com