BASI LA ABOOD LIKIWA LIMEPINDUKA
ABIRIA WAKIWA WAMETOKA NJE BAADA YA AJALI KUTOKE
HIVI NDIVYO BASI LA ABOOD LILIVYO PINDUKA
******
Basi
la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya
Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani
Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote
waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika. Picha zote na Blogs za Mikoa