Balozi
Liberata Mulamula akishuka kwenye gari Bethesda, Maryland wakati
akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling,
Virginia Ijumaa July 12, 2013. Mhe, Mulamula ndiye Balozi wa Tanzania
nchini Marekani aliyekuja kuchukua nafasi ya Balozi Mwanaidi Maajar
aliyemaliza muda wake mwanzoni mwa mwaka huu. Kabla ya hapo Balozi
Mulamula alikua Balozi wa maziwa makuu na msaidizi wa Rais mwandamizi
katika maswala ya diplomasia.
Mhe.
Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani waliofika kumlaki kwenye yatakayokua makazi
yake Bethesda, Maryland.
Mhe.
Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani waliofika kumlaki kwenye yatakayokua makazi
yake Bethesda, Maryland.
Balozi
Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi
(hawapo pichani) wakati walipomkaribisha nyumbani kwake, Bethesda,
Maryland.
Watoto wa Mhe. Balozi Alvin na Tanya.
Kaimu Balozi na mkuu wa Utawala na Fedha, Mama Lily Munanka katika picha.
Mhe.
Balozi Liberata Mulamula akibadlishana mawili matatu na Maafisa na
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wakati
walipomkaribisha nyumbani kwake Bethesda, Maryland kushoto ni Afisa
Ubalozi Mindi Kasiga.