Sailendra
Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka kuweka
record ya kuvuka mto kwa kutumia nywere zake amabozo anakuwa amezifunga
kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini kwa bahati
mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo nywele zilig'ang'ania kwenye
waya huo na kujaribu kujinasua lakini ikashindikana.
Roy alianza vizuri
Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta
Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele