Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, June 11, 2013

Wanigeria noma, hii Bugatti imeonekana kwao!

.
.
Magari ya kifahari na ya bei ghali ni nadra sana kuonekana kwenye nchi za Afrika ukiacha Afrika Kusini ndio maana yakionekana huwa ni stori kwa waandishi/wapiga picha ambapo nchini Nigeria moja kati ya stori nilizokutana nazo leo ni ya gari la kifahari aina ya Bugatti-veyron kuonekana kwenye mji wa Abuja ikiwa ni mara ya pili kutoka mwaka jana ambapo Bugatti jingine lilionekana kwenye mitaa ya mji huo.
Mji wa Abuja ambao pia una vijana wengi wenye utajiri wa mafuta, mwaka jana September pia uliingia tena kwenye headlines za vijana wenye magari ya kifahari baada ya picha kutoka zikionyesha vijana wenye mkwanja mrefu wakiwa na magari makali kama Aston Martin na Ferrari.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...