Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imekubali kumwachia
Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema),
Wilfred Lwakatare kwa dhamana ya Shilingi Milioni 10 za kitanzania.
Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye