
Habari
zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba jeshi la polisi mkoani ddoma
linawashikiria watu wawili kwa tuhuma za kumpiga mbunge Moses
Machalli.Machalli amelazwa katika hospitali ya mkoa dodoma General na
anaendelea vizuri.
Find Us On Facebook | X | |||