MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akitoka Polisi baada ya kuhojiwa.
MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
akiongozana na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema wakitoka Polisi
baada ya kuhojiwa.
Mwenyekiti wa CHADEMA Fremaan Mbowe pamoja na mbunge wa Arusha mjini
Godbless Lema jana wamejisalimisha polisi kufatia tamko la jeshi la
polisi kusema kuwa linawasaka waheshimiwa hao
akingea na waandish wa habari mwenyekiti wa chama cha demokrasia na
maendeleo CHADEMA Fremaan Mbowe alisema kuwa wao wamejisalimisha kama
polisi walivyosema wanawatafuta na walipofika waliandika maelezo ambapo
alisema kuwa polisi waliwaita kwa mambo mawili moja likiwa ni kwa
kuwaoji kwanini walifanya mkutano pasipokuwa wa halali ambapo alisema
kuwa
"jambo la kufanya mkutano pasipo kuwa halali sio kweli kwani polisi
walituruhusu tukafanye mkutano katika sehemu hile lakini
kinachotushangaza tumefanya wamekuja kutupiga mabomu nakusema sio wa
halali na kuhusiana na ushaidi msimamo wangu upo pale pale tunao ushaidi
wa kutosha na tunamjua aliyerusha bomu siku ya jumamosi lakini hatuta
utaoa hadi pale Rais atakapo unda tume huru ya majaji ili wafatilie
swala hili hao ndo tutawaonyesha ushaidi wetu lakini polisi hatuwezi
kuwapa "hii ni kauli ya mbowe
chagonja akiongea na waandishi wa habari
kwa upande wa kamishana wa mafunzo na uperesheni ya kijeshi Paul
Chagonja akiongea na waandishi yeye alisema kuwa wamekuja wamewaoji na
kuwaomba ushaidi huo lakini waeshimiwa hawa hawakuwaonyesha ushirikiano
"mbowe alisema kuwa anaushaidi na hata katika vyombo vya habari
ametangaza lakini nacho shangaa tulivyomuuliza hapa amesema kuwa hana
ushaidi wowote na wala ajawai kutamka hivyo sasa sisi kwakuwa kasema
hivyo nitakaa na makachero wangu na tutaangalia jinsi ya kufanya"alisema
chagonja
Aidha alisema kuwa alimuliza mbunge wa Arusha mjini kwanini awali
alikuja na kuwasifia polisi baadae akaja kuegeuka na wakati alisema kuwa
awezi sema uwongo na akasema yeye anafata mwenyekiti wake anachosema.