Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais
DktbMohamed Gharib Bilal pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue na Makatibu wakuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.(Picha na Ikulu)