Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, June 11, 2013

PICHA: MAZISHI YA MSANII WA FILAMU KASHI AZIKWA LEO KINONDONI MUSLIM

IMG_4463 
Jeneza lenye mwili wa Kashi wakielekea mazishini leo hii
     Baadhi ya wasanii wa filamu na wadau wa tasnia hiyo leo wameungana na watu wengine katika mazishi ya msanii mwenzao Kashi ailyefariki dunia ivi karibuni na mazishi kufanyika jioni ya leo katika makabuli ya Kinondoni Muslim jijini Dar  Ess  Salaam
Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi Ili ndiyo kabuli la Mpendwa wetu Kashi
Msanii wa Movie Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi. 
Msanii Cloud akiwa na wasanii wengine katika mazishi
Wadau mbambali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni MuslimBaadhi ya waomblezaji wakielekea makabulini
Wasanii wa movie Tanzania  kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo  
Msanii wa movie akilia kwa uchungu 
Baadhi ya wasanii wakilia kwa uchungu
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...