Nawashukuru
wananchi wote waliojitokeza kumuunga mkono mbunge wao kuanzia saa Tatu
Asubuhi Mpaka saa kumi jioni kwenye Kazi za mikono. Joshu Nassar
Jitihada zangu Binafsi kujaribu kutatua tatizo la Maji maroroni Arumeru. Kulia ni
Mkiti wa kijiji cha Maroroni baada ya kumkabidhi rollers za Maji kijijini hapo
|
Kamanda Nassar akipiga sururu |