
LAKINI HABARI KUTOKA VYANZO MBALIMBALI VIMETHIBITISHA KUA JAGUAR SI MMILIKI HALALI WA GARI HIYO PAMOJA NA NDEGE. IMEELEZWA KUA MMILIKI HALALI WA MALI HIZO NI JOHN NDETIRU MMILIKI WA SUBRU MOTORS KAMPUNI YA MAGARI HUKO KENYA. IMESEMEKANA KUA JOHN HUYAKODISHA MAGARI HAYO KATIKA SHEREHE MBALIMBALI. NA BAADA YA WIKI MBILI ZA JAGUAR KUTUMIA GARI HIYO KWA SASA AMEIRUDISHA KWA MWENYE NAYO NA KWA SASA IPO KATIKA PARKING YA WILSON AIRPORT HUKU LIKIWA HALINA PLATE NUMBER ZENYE JINA LA JAGUAR
 
 
 




 
 
 
