Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 17, 2013

MAKAHABA WANAOJIUZA SINZA WATIWA MBARONI NA MGAMBO WA JIJI MCHANA KWEUPE.....






Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza.

Picha hizi ( juu) zinaonesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...