Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 17, 2013

Lulu na mama kanumba “damu damu”




Katika kile kinachoonekana kuendelea kutawala kwa amani na upendo kati ya familia ya marehemu Steven kanumba na familia ya mwigizaji Elizabeth Michael ama Lulu, familia hizi kwa pamoja zimeonekana kwenye picha za pamoja wakiwa katika hospital ya  taifa ya muhimbili kumpokea mtoto aliyezaliwa na dada wa marehemu Steven kanumba siku  tatu zilizopita hospitalini hapo “waliyempa” jina la “Steven Kanumba Jr” kama caption za picha hizo zilivyokuwa zinaonesha.

Katika picha hizo mwigizaji Elizabeth Michael alionekana mwenye furaha sana akiwa na mtoto huyo mikononi mwake.

Hongera sana dada kanumba.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...