Mwisho Mwampamba mshiriki wa Big Brother ya kwanza kabisa baada ya kimya
kingi chakuweka makazi pande za Namibia yeye na familia yake, sasa hivi
amerudi nyumbani na amekuja kikazi zaidi na kuamua kufungua duka la toy
za watoto lenye kila kitu ambavyo mtoto atachezea. Duka hili lipo
maeneo ya Sinza Palestina linatizamana na msikiti mkuu.



















