MSANII Huyu
aliekonga nafsi za wengi na kujizolea Furushi la mashabiki kwa kuimba
staili ya kulewalewa Anatambulika kwa Jina la ''JONI WOKA'' Sasa aamua
kunyoa Rasta na kubalidili muonekano, Baada ya kufanya mahojiano mafupi
na mwandishi aliulizwa kuhusu mziki akasema Yupo kwenye
maandalizi makubwa na kwa leo hawezi kusema chochote kuhusu mziki. Sasa
Hebu angalia maoni yalivyoporomoka hapo kwenye picha hii hapa chini, Hio
ni katika ukurasa wake wa Facebook.
CHANZO CHA HABARI NI masainyotambofu.blogspot.com